Tecno Y3+ Network Unlock Free Way


MAHITAJI[Material]

1, TECNO Y3+

2, KIFURUSHI CHA INTANETI (2mb) 

*_FANYA YAFUATAYO_*: 

1, Kwenye hiyo simu ingia PLAYSTORE,{ open playstore}

2, Download MTK ENGINEERING MODE au MTK ENGINEERING MODE SHORTCUT.

3, Ikishamaliza kuinstall ifungue hiyo Mtk engineering{ After finishing installing}

4, Itakuja menu yenye Tabs. Angalia neno TELEPHONY, Shusha kuelekea
chini ya Telephony mpaka upate neno SIMME LOCK au SIM LOCK alaf bofya hapo

5, Utaona neno {see the word_NETWORK PERSONALIZATION, fungua hapo alaf utaona
{open UNLOCK/NETWORK UNLOCK , Ukiselect network unlock simu itaomba unlock
codes , tumia{ use this code 12345678,

Ukishamaliza hapo bonyeza button ya back mara moja, Utaona {after finish click PERMANENTLY
UNLOCK, then restart phone and enjoychagua hiyo kisha restart simu yako na kila kitu kitakua po.

Comments

Popular posts from this blog

Tecno All Stock ROMs / Firmware Download

Samsung Galaxy J5 2016 SM-J510MN Nougat 7.1.1 Install TWRP Root

How To Root Samsung Galaxy J7 Plus SM-C710F Nougat 7.1.1 Install TWRP Toturial way